Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,252
Anazidi kuchoka huyu mdada!
By ze way hongera zake, ni hatua nzuri japo sijui contents za kitabu chake!
kinachomchosha utakuta ni kukosa gavana...................
kwa sababu za kwake zilikuwa zinaminywa na mwenye kutoa za wenzake.Atleast she's doing something descent! Kuliko angezeeka na scandals! I wish her luck...
ila nahisi angekizindua wakati ule anashikilia taji angeuza sana,sio sasa hata umaarufu wake umepungua ndio anazindua kitabu?!
With all fairness to Hoyce, she went to school in the US for 4 years after Miss Tanzania. She graduated and started writing a book.wewe nae vipi?
kuna miss tanzani mwenye akili ya kuandika kitabu?
wakishashinda wanawaza mabuzi kwanza...
ni mpaka mda wao upite...na chati ishuke
ndio wanapata akili ya kuandika vitabu...
i bet we mwenyewe enzi zako mashine bado mwalu..
hukuwa unajua hata vitabu vinapatikana wapi lol
with all fairness to hoyce, she went to school in the us for 4 years after miss tanzania. She graduated and started writing a book.
She returned home and got a job. What's wrong with that?