Car4Sale HOWO SINO Truck linauzwa Dar es Salaam

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,062
283
2013 model.

Lipo katika hali nzuri.

Bei 35mil Maelewano yapo kidogo

Contact: 0784225000

IMG-20240423-WA0241(1).jpg
IMG-20240423-WA0240(1).jpg
IMG-20240423-WA0243(1).jpg
 
Howo nzuri sana hii kwenye safari zenye milima na miteremko mikali inafaa sana ndo gari za kuongeza
 
Kwa nini Chinese trucks hawana genuine parts hata moja, gari zao zikishamaliza 5-7 years, mara utakapotaka ku overhaul elewa utadumu nayo miezi 6 tu, itakufa.
Gari ya kichina ni nzuri ikiwa mpya tu, ikichoka haifai hata kidogo. Halafu kingine hazitunzi thamani yake, hiyo howo hapo juu unaweza kukuta hata million km hajiafika na haina hata miaka 10
 
Naomba namba ya fundi wa kuni guarantee itakuwa na uzima kwa miaka 3,baada ya overhaul.
Maswala ya ufundi unataka guarantee mzee..?
Are you mentally stable kweli..?
Ndo maana nasema mnaopiga kelele za hakuna nini sijui nini kwenye Howo, wengi wenu hamna hata Howo moja, kazi kelele tu
 
Maswala ya ufundi unataka guarantee mzee..?
Are you mentally stable kweli..?
Ndo maana nasema mnaopiga kelele za hakuna nini sijui nini kwenye Howo, wengi wenu hamna hata Howo moja, kazi kelele tu
Kwani mkuu unaona howo ni nini kwani hadi unajimilikisha wewe hayo ma howo? Mtu ametoa hoja mpe fundi afanye overhaul apate gerentii..kwanini unaogopa na umesema zinakaa muda mrefu baada ya overhaul??
 
Kwani mkuu unaona howo ni nini kwani hadi unajimilikisha wewe hayo ma howo? Mtu ametoa hoja mpe fundi afanye overall apate gerentii..kwanini unaogopa na umesema zinakaa muda mrefu baada ya overall??
Kama ni mtu wa logistics na ushawahi kaa na Trucks regarldess ya Brand lazima uelewe kwamba hakuna ufundi wenye guarantee mzee. Guarantee ni ya kitu kipya tu. Mambo mengine huwezi kuyasema kama upo kwenye industry, mnafanya tuone kama mnatusanifu vile.
 
Kama ni mtu wa logistics na ushawahi kaa na Trucks regarldess ya Brand lazima uelewe kwamba hakuna ufundi wenye guarantee mzee. Guarantee ni ya kitu kipya tu. Mambo mengine huwezi kuyasema kama upo kwenye industry, mnafanya tuone kama mnatusanifu vile.
Sio kweli, wapo wafundi wanabahatisha na wapo wafundi wanakupa gerentii kwa aina flani ya ufundi. Kwasababu hapa issue ni overhaul sasa inawezekana yeye hajakutana na mafundi wazuri hajapata spare genuine ndio maana kaja na conclusion hiyo, sasa kama una idea tofauti tuletee na sio kutunanga . Binafsi nimeshamiliki malori ingawa kipndi flani niliacha nataka nirejee tena ulongoni. Sio kila kitu unabisha au kudhani kwamba ni wewe tu ndio unajua mambo ya magari. Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari za kichina ndio maana nimeuzla mdau hapo kati ya hizi scania used tulizozieza na brand new Chinese trucks bkra nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom