Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
REFA maarufu England, Howard Webb amestaafu kupuliza kipyenga baada ya miaka 25-na sasa atakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Taasisi ya Marefa (PGMOL).
Refa huyo mwenye heshima kubwa amechezesha mechi zaidi ya 500 za Ligi Kuu ya England na nyingine za mashindano ya soika nchini humo tangu apande daraja mwaka 2003.
Webb pia amechezesha fainali mbili za Kombe la Dunia na mbili za Kombe la Mataifa ya Ulaya, kabla ya kuweka rekodi ya kuwa refa wa kwanza kuchezesha fainali EURO na Kombe la Dunia.
Ametungika kipyenga: Howard Webb amehitimisha maisha yake ya urefa
Chanzo: BinZubeiry