Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
ukweli ni upiSi kweli.
trueThere's no true love. Jipende wewe mwenyewe, wazazi wako au watoto wako. Ukisubiri kupendwa na mtu mwingine unapoteza muda.
Wapo ww mwenyewe kuwa sawa kwanzaNalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
Wapo ww mwenyewe kuwa sawa kwanzaNalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
Pole Jamani siyo Wote ni huyo wa KwakoNalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
Unalia nn ss naww kwani ulizaliwa nae mie hata siliagi maana ntatoa machozi lkn hayatanisaidia kitu ndo kwanza huwa nanunua na kuku na wine napiga zangu
Kiruuuu shindwa kwa jina la Yesu kama ww mchawi usidhani wote tu wachawiwe utakuwa mchawi kwa asili na kama siyo leo utakuja kuwa mchawi tu
Sasa Mwanamke Gani asiyekuwa na hisia na Mwenzi wake.. Yaani Akikosea wewe ndio unaenda kuhsangilia na kufanya sherehe kweli huo si dalili ya Uchawi. Kwa Upande mwingine you have never loved.Kiruuuu shindwa kwa jina la Yesu kama ww mchawi usidhani wote tu wachawi
Sasa Mwanamke Gani asiyekuwa na hisia na Mwenzi wake.. Yaani Akikosea wewe ndio unaenda kuhsangilia na kufanya sherehe kweli huo si dalili ya Uchawi. Kwa Upande mwingine you have never loved.
Your whole life? Ni yesu huyo?Sometime its very hard to deal with heartbreak especial on a person you have trusted for your whole life!