Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
So apart from hao watatu hakuna msanii mwengine unajua/kupendakhaligragh jone
nyashinski
saut sol
I like your playlist but hizo ni ngoma za kitambo zikichezwa nilikuwa nikinyonya but ni poa,n (eatv)sijui channel ka hio,hatuonangi channel za Tz ,zenye tunaonanga sana ni za majuu ndo tuligrow nazo cartoon network,disney,Nickelodeon na sasa zetu kama Citizen ,ntv etc lakini Eatv bdo sijui,maybe maisha magic east africa na sijui ka ni yenu ama ni ya kenyaYeah, mm ni mtanzania na these are my favorite kenyan songs: nyimbo ya juakali-ngeli ya genge, na khadija nisubiri, Nameless-nasinzia nikikuwaza, nonini-kadhaa, p-unit -sijamwona mkali, brenda-he's good for nothing, by the way uko kenya-talk forum? And huku Tanzania tuna tv station inaitwa east africa television (EATV) je hii channel is it popular huko kenya? Ww unaifahamu eatv? Latimore Mimo wangeci
I like your list iko poa sana,kwanza hapo kwa Elani na camp mullah coz they ma best,uko sawa browapo weng tuu mfano
Elani
Dela
nameless
camp muller
wyre.......nk
kenyan music is very well hasa wakishagundua mahali padogo....they will reach far away
I think njiwa ni willy paul si otile,Otile ako sawa pia but sai ana compe kuna boy anajiita masauti pia kuna kelechi so ako na compeOtile brown anafanya poa sana tz....for example njiwa na kistaarabu
Haha wewe ni babbie mbaya,Tunji,mat za ronga ni zii,have you heard that song?Kagwe Mungai
Tunji
haha achana na jeff hata kama wakenya huongea na mapua yeye amezidi,on Azam i think nimeona Tv ya Azam if am not wrong na pia nikiwa loitoktok niliona juice ya azam ka si confuse,but nairobi ni hard kuzipataOk, and I am a fan of Jeff koinange napenda sana anavyoongea kingereza chake/his presenting style/ & opening, na jinsi anavyohoji watu, maybe channel ya azam TV (from Tanzania) utakuwa unaijua..au product ya azam Latimore Mimo wangeci
hio ni fiti,hpe unawaelewanga juu wanaongea sana sheng ya nairobi,napenda hii ngoma ya dem i think anaitwa maua sama iokote shida ni sielewi kitu but hio ngoma hu make my day hata hio ndo my ringtoneHaha yeah bro,, napenda video yake ft khaligraph,,Tunji ni noma
we know indian ,we dont listen music to balance ,we listen good music from every where ....................sasa niache kumsikiliza mbosso nisikilize usinidandie dandieee tuuu kama mthreee ,mbona watanzania wanamsikiliza davido kuliko jux ina maana wana chuki binafsi na wakenya ,hujiulizi kwa nn watanzania hawaombi collabo na kenya,na wakifanya wakenya wanalipa ndo ilivyo diamond akifanya na davido au neyo yeye ndo analipa,mbona wakenya mnasikiliza sana nyimbo za wanaijeria ,mbona hizo hamhoji ,wakenya kizuri huwa chajiuzaKuuliza tu out of curiosity,sisi huku tunajua wasafi,Mbosso,jux,na sasa maua sama jee Tz nyi huskiza nani kutoka Kenya?if you even listen to kenyan music,
Sent using Jamii Forums mobile app
Siko kenya talk forum,ni app ama?how does it workYeah, mm ni mtanzania na these are my favorite kenyan songs: nyimbo ya juakali-ngeli ya genge, na khadija nisubiri, Nameless-nasinzia nikikuwaza, nonini-kadhaa, p-unit -sijamwona mkali, brenda-he's good for nothing, by the way uko kenya-talk forum? And huku Tanzania tuna tv station inaitwa east africa television (EATV) je hii channel is it popular huko kenya? Ww unaifahamu eatv? Latimore Mimo wangeci
maana yake kitambo ndo mlikuwa mnaimba vyema ,mbona ww hujui nyimbo za zamani za rwandaI like your playlist but hizo ni ngoma za kitambo zikichezwa nilikuwa nikinyonya but ni poa,n (eatv)sijui channel ka hio,hatuonangi channel za Tz ,zenye tunaonanga sana ni za majuu ndo tuligrow nazo cartoon network,disney,Nickelodeon na sasa zetu kama Citizen ,ntv etc lakini Eatv bdo sijui,maybe maisha magic east africa na sijui ka ni yenu ama ni ya kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
wakenya hiki sasa ndo lugha gani '' niliona juice ya azam ka si confuse,but nairobi ni hard kuzipata ''haha achana na jeff hata kama wakenya huongea na mapua yeye amezidi,on Azam i think nimeona Tv ya Azam if am not wrong na pia nikiwa loitoktok niliona juice ya azam ka si confuse,but nairobi ni hard kuzipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yeah ngoma kali ile,ili hit hata huku piahio ni fiti,hpe unawaelewanga juu wanaongea sana sheng ya nairobi,napenda hii ngoma ya dem i think anaitwa maua sama iokote shida ni sielewi kitu but hio ngoma hu make my day hata hio ndo my ringtone
Sent using Jamii Forums mobile app
Usi criticize kenyan music,juu kuna watu wanapenda,na pia kuna watu who dont listen to Tz music btw apart from maua sama na kwangaru sina any Tz song in my phone,but hata kama siskizi your music siezi wadharau na kusema mko chini,btw hata nigerians wali admit our music is good ni venye haipati marketing poa kuna corruption mahali,so who are you,n btw some pple in nigeria n SA still think Diamond is kenyan,usishangae pia wakisema Huyo sijui umemuita Mbosso ni mkenya haha,sikuwa nataka kuwa rude but umeniboo tu sanawe know indian ,we dont listen music to balance ,we listen good music from every where ....................sasa niache kumsikiliza mbosso nisikilize usinidandie dandieee tuuu kama mthreee ,mbona watanzania wanamsikiliza davido kuliko jux ina maana wana chuki binafsi na wakenya ,hujiulizi kwa nn watanzania hawaombi collabo na kenya,na wakifanya wakenya wanalipa ndo ilivyo diamond akifanya na davido au neyo yeye ndo analipa,mbona wakenya mnasikiliza sana nyimbo za wanaijeria ,mbona hizo hamhoji ,wakenya kizuri huwa chajiuza