kwanza naomba nikiri jf imenifundisha mengi sana ikiwemo kuacha kuibiwa na mafundi uchwara waliokuwa wananiwekea software kwa bei ya kihuni na baada ya trial kwisha inanidai keys, lakini kupitia hapa nikajua torrents na sasa napata almost software yoyote niitakayo ikiwa na keys zake.
Kuna mambo kadhaa sijajua kuhusu torrents na ningependa kujua.
hivi seeders, leechers na peers nikina nani hasa, nimejaribu kugoogle nimeona seeders ni wanao host file, leechers ni wanaodownload, na peers ni jumla ya wote seeders na leechers.
Ikiwa kama seeders ndio wana host file je hii inamaanisha site husika haina hilo file?
Je nikimaliza kudownload file kila nikiingia online AUTOMATIC namimi nakuwa seeder?
Nakama nikiwa seeder si inamaana na upload file, na kama na upload file ina maana bundle yangu inalika?
Je file linaingiaje katika mzunguko kwa mara ya kwanza kabisa.
Pia je sheria zina semaje kuhusu torrents site
May be maswali yangu yako wrong kwasababu ya kutokujua torrent zinavofanyakazi.
Naomba mwongozo wadau

Ukiondoa torrents site hii site ni moja ya site inanipatia elimu sana . So unaweza kupata majibu ya maswali yako. HowStuffWorks "Peer-to-peer File Sharing"
Kuhusu maswali mengine psecific kama hayajibiwa kwenye hiyo article ni
Je nikimaliza kudownload file kila nikiingia online AUTOMATIC namimi nakuwa seeder?
Yah ukimaliza kudowload file wewe unakuwa seeder lakini unaweza kustopisha kuwa seeder. Inategeme aunatumia torrent software gani . kama unatumia biitoorent unaweza ku remove file kwenye commpleted. Unapokuwa seeder ni kama unakuwa una uppload some chunks of file .
Nakama nikiwa seeder si inamaana na upload file, na kama na upload file ina maana bundle yangu inalika?
Yes inalika although bandwidth inayokwenda kwa ku appload ni ndogo kulinganisha na ile unayotumika unapo download nakushauri ukimaliza kudowload tu fali litoe kwenye msururu wa torrent
Pia je sheria zina semaje kuhusu torrents site?
Sheria hazina tatizo na torrents sheria zina tatizo na baadhi ya file software na miziki tunayodowload . Mfano kudownload ubuntu through torrent sio kosa lakini kudolwdd Winodws 7 kupitia torrent inawezza kuwa kosa.
Nakushauri pia some FAQ section ya torrotent software unayotumia. ili ujue ni mambo gani unaweza kufanya
So kifupi kama ilivyo TCP hizi software za torrents ni Protocol but zenyewe ni specific kwa kushare mafile kati ya user na ndio maana inatwa p2p yaani peer to peer
Wakuu nashukuru sana kwa muongozo wenu umenifunia macho, mimi natumia uttorent na mara tu nimalizapo kushusha mzigo na delete katika uttorent completed list, kwa mujubu wa maelezo yenu ni kwamba hapo inakuwa watu wengine hawawezi kuchota kutoka kwangu.Torrents ni peer-to-peer yaani faili linatoka mtu hadi mtu, site ya torrents yenyewe haibebi file unalodownload.
Site inabeba ile initial .torrent file ambayo ina description ya file unalolitafuta.
Tracker inakeep list ya watu wenye file na I.P address zao.
Ukishafungua hiyo .torrent software yako (Utorrent,BitTorrent etc) itaiuliza tracker nani anayo hilo file.
Then unaconnect na huyo mtu mnabadilishana file.
Periodically software yako itaiambia tracker unashare mafaili gani, ili watu wengine waweze kudownload kutoka kwako.
Sio mpaka umalize ndo unaanza ku-upload, unaanza kuapload as soon as una kipande cha file ambacho mtu mwengine anakihitaji, so wewe ni seeder tangu mwanzo.
Ndio bundle lazima ilike.
Ukiwa unabana kuupload wewe unakuwa leech unawanyonya wenzako, na obviously watu wote wakiwa leeches system haiwezi kufanya kazi, kwa hiyo bittorrent inategemea ushirikiano fulani kwenye jamii.
Pia kuna trackers watakublock ukiwa leech.
Mara ya kwanza kuna mtu anakuwa na file na anaamua kulishare, so anaziambia tracker kuwa mimi nina file hili na nataska kushare. (File-> Create new torrent. Kwenye uTorrent).
BitTorrent ni legal ila kuvunja copyright ni illegal, pia kumbuka kuwa I.P address yako inakuwa public unapotumia torrents so kukupata ni kiasi cha kumwuliza ISP wako nani yupo nyuma ya I.P
Pamoja na hayo operators wa Piratebay wamehukumiwa kifungo kwa kuendesha site yao.
Torrents ni peer-to-peer yaani faili linatoka mtu hadi mtu, site ya torrents yenyewe haibebi file unalodownload.

Vipi nikidownload Limewire au LimeFrost then nikashare music files (P2P) legally ni kosa?
Sorry nimeenda nje ya topic kidogo lakini nimeona nikuulize sababu you seem to be very knowledgeable ni hivi vimbwanga.
Kushare kitu chochote ambacho hauna haki ya kukishare ni kosa haitegemei unatumia technolijia gani, so kamu huo muziki haujapewa haki ya kushare ni kosa kisheria.
Torrents ni powa kama upo huko kwene internet jungle, ukiwa nchi za watu cheza nazo mbali unless kama unaeza kurisk viza na maisha yako kwa ajili ya torrents. Simply bad news.
Are u jokin'? sasa ni nani atengeze muvi ya up to $50 mil halafu aweke online watu wa-download bure? nways, unaeza kutumia torrents kushusha mafaili ila wakikuotea kuwa tayari kwa consequences..ni hayo tu bi mkubwa.Duuu!!??? yani siwaelewi kabisa na haya mambo ya Torrent lakn mnaanza kunitisha.mie nimeelekezwa hiyo kwa ajili ya kudownload movies...ina maana ni dhambi?(illegal???)
Acheni woga bana, kabla hawajafika kwako inabidi waanze na wenye hizo site kama ilivyo kwa thepiratebay, huku tupo porini bana
Haya mkuu ahsante. Nitadelete torrents na Limefrost na nitaacha usanii nisijekutana na court order kwenye mail box ama nisijegongewa mlango na wazee wa makoti marefu buree.
Kwa maana hiyo basi hata kudownload Torrents ni kosa?
Mkuu unahakika wakitaka kuku trace umedownlod nini watashindwa? sidhani kama upo sahihi, nakubaliana kuwa huku kwetu kajamba nani sio issue sana lakini kama ikiwa siriazi wanakudaka mkuuWala usiogope huyo haelewi anachoongea kwasababu kutokana na torrent technology inavyofanya kazi ni vigumu kukukamata kwasababu unacho download siyo file la muziki au movie bali torrent (kijipande cha file ambacho ni encrypeted). Kama unadownload p2p sawa lakini kama unatumia bitorrent network wala usiogope kwasababu hiyo siyo centralized system.
Hivi vi-torrent ni vi-millioni vya vipande vya mafaili ambapo ukishavimaliza kuvi-download hiyo bittorrent client inachofanya ni kuviunganisha programatically. Hata ISP hawawezi jua umedownload nini kwahiyo usiwe na shaka labda kama shaniqua ((( LOL )) kaamua kukuchomea la sivyo mambo shega tuu.