Thanks for giving me such an opportunity to contribute and sharing my views with other colleagues. While learning little by little will continue to contribute with JF. Alunta Continua, Rgds, Skne
Hellow JF,
nimefurahi leo kujiunga nanyi, its my hope that tutaelekezana, mm bado wakuja, sielewei hata nifanyeje, yaani nabonyeza bonyeza tu hata sielewi.
Many thanks to JF for provision of high profile platform for all people and hence broadening intellectual dimension of these through exchange of ideas, views and affection.
Hilo suala kwa sasa linaongezeka kwa kasi mno pengine ni kwasababu watu wengi wanakimbia kwenye dini kwa ajili ya mambo yao binafsi kama vile kutaka pesa, sifa au kinga katika mambo fulani fulani kwa serikali na umma hasa ya waumini wake na si wito kama inavyopasa kuwa. Kuna haja ya serikali kuwachukulia hatua kama sheria inavyosema pasipo kuangalia nafasi ya mtu kwani alichokifanya ni fedheha kwa waumini anaowaongoza na jamii kwa jumla.