inabidi uwe na wifi, jitengenezee wifi na simu nyengine au laptop halafu connect simu na hio wifi halafu kwenye simu yako nenda setting then phone update halafu itasearch update iache iji update. ila sababu upo na software ya zamani kutakuwa na malimbikizo mengi ya updates hivyo itabidi uwe na subira. na bundle itahitajika zaidi ya mb 500.