How to unlock Vodafone 785?

Nicklaus

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
451
455
Jamaa wanajukwaa mwenye ujuzi wowote au experience ya jinsi ya kuifanya Vodafone smart 4 min 785 iweze kutumia line zote yaani isichague line naomba anifahimshe sina mpango wa kubadili simu ila nahitaji kutumia line zote.

Nawasiliana hoja
 
Mcheki, 0762647575 ana unlock kwa sh 9000 na anakutumia unlock code baada ya dakika 10.
 
We jamaaa watu wanatuma millioni kadhaa japan wanasubiri gari miezi ww unaogopa 9000.... sidhani kama mtu anaweza kutupa line kwa 9000 tu jaribu kumuamini akikupiga lete matokeo tutamsumbua mpaka akurudishie hela yako
 
tuma imei number zake na operator number inakuwa hivi
imei;3576876534762436 (zinakuwa digi 15) na operator number inakuwa hivi v875-2bdtz1 ama vyenginevyo inategemea tuma kwa sms nitakupa unlock code ambazo utaingiza baada ya kuweka laini ya mtandao mwengine kinyume na huo ambao ulinunulia simu ndipo utaombwa unlock code, utaweka hizo nitakazo kupa simu itakuwa huru kwa mtandao wowote. utarudi hapa kutoa ushuhuda kwa wasio amini,
NASIKITIKA
jana nilimtolea mteja mmoja baada ya kuwa fresh akanipigia nakuniambia niirudishe ilivyokuwa akipata pesa ataniambia ni ifungue tena (TUWE WAAMINIFU) Kama ninavyotoa huduma kabla ya malipo 0715-387545 gharama ni TSH .5000
 
labda katoka bush
 
MANDELE
imei: 354459061684205 ,V685-2AVDTZ1 .your UNLOCK CODE IS 40781567 payment RECEIVED tHANKS
 
tuma imei number zake na operator number inakuwa hivi
imei;3576876534762436 (zinakuwa digi 15) na operator number inakuwa hivi v875-2bdtz1 ama vyenginevyo inategemea tuma kwa sms nitakupa unlock code ambazo utaingiza baada ya kuweka laini ya mtandao mwengine kinyume na huo ambao ulinunulia simu ndipo utaombwa unlock code, utaweka hizo nitakazo kupa simu itakuwa huru kwa mtandao wowote. utarudi hapa kutoa ushuhuda kwa wasio amini,
NASIKITIKA
jana nilimtolea mteja mmoja baada ya kuwa fresh akanipigia nakuniambia niirudishe ilivyokuwa akipata pesa ataniambia ni ifungue tena (TUWE WAAMINIFU) Kama ninavyotoa huduma kabla ya malipo 0715-387545 gharama ni TSH .5000

Ansante mkubwa kwa msaada wako pamoja na wanajukwaa wote kwan nimeweza Ku unlock cmu yangu baada ya wanataman kunitumia unlock code
 
tuma imei number zake na operator number inakuwa hivi
imei;3576876534762436 (zinakuwa digi 15) na operator number inakuwa hivi v875-2bdtz1 ama vyenginevyo inategemea tuma kwa sms nitakupa unlock code ambazo utaingiza baada ya kuweka laini ya mtandao mwengine kinyume na huo ambao ulinunulia simu ndipo utaombwa unlock code, utaweka hizo nitakazo kupa simu itakuwa huru kwa mtandao wowote. utarudi hapa kutoa ushuhuda kwa wasio amini,
NASIKITIKA
jana nilimtolea mteja mmoja baada ya kuwa fresh akanipigia nakuniambia niirudishe ilivyokuwa akipata pesa ataniambia ni ifungue tena (TUWE WAAMINIFU) Kama ninavyotoa huduma kabla ya malipo 0715-387545 gharama ni TSH .5000
naomba mimi code ya vodafone v785
imei 359729059231846
svn240HPG1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom