How to unlock huwaei y300 Za Tigo

How to unlock huwaei y300 Za Tigo

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Wakuu kama kuna mtu anaweza kuunlock cm wanazotoa Tigo mana Nataka nitumie line ya voda msaaaaada please.....
 
Waweza kutumia Dc unlocker ambayo ni software ya kulipia online,but kama unaweza pata crack yake its okay,but sidhani kama crack ya version ya Dc unlocker inayoweza kuanlock hiyo simu imekwishatoka.kwanza inatakiwa uwe na uwezo wa kulipia online,pili download software ya dc unlocker ,tatu unatakiwa uanlock bootloader,maelezo yote utapata hapa.
Note:unatakiwa kuwa na credit 7 ili kuweza kuanlock hiyo simu ambayo ni kama elfu kumi na mbili tsh/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom