solution ya Ndibalema iko based on "Call your carrier...Ask for the MEP code..." sasa wewe uko Bongo, simu hii ni ya T Mobile ya Marekani, hao T Mobile walikubali kweli kukupa unlock codes wakati wewe si mteja wao?did exactly like Ndibalema has adviced. we managed to get the MEP 2 and 4 codes kwa kutumia IMEI number
Inawezekan sana mkuu ikiwa wewe ndiye mmiliki halali na mkataba wako ulikwisha malizika, au kama cm usika haijaripotia kuibiwa nk.solution ya Ndibalema iko based on "Call your carrier...Ask for the MEP code..." sasa wewe uko Bongo, simu hii ni ya T Mobile ya Marekani, hao T Mobile walikubali kweli kukupa unlock codes wakati wewe si mteja wao?
Hello wanajamii,
Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom wakasema iko locked kwa T-Mobile services. Nimeenda Sapna wanisaidie ku-unlock wanaleta longo longo nyiingi na wana tuhuma za kukwapua spare toka kwenye simu za watu hivyo sikuweza kuiacha pale waichezee.
Kama kuna mwanajamvi mwenye ujuzi huo au anamfahamu mtu wa kuaminika mwenye ujuzi huo anisadie.
Kama bado hujapata tiba ya simu yako tafadhalo fika ofisin. 0655003510 ofisi ni kinondoni studioHello wanajamii,
Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom wakasema iko locked kwa T-Mobile services. Nimeenda Sapna wanisaidie ku-unlock wanaleta longo longo nyiingi na wana tuhuma za kukwapua spare toka kwenye simu za watu hivyo sikuweza kuiacha pale waichezee.
Kama kuna mwanajamvi mwenye ujuzi huo au anamfahamu mtu wa kuaminika mwenye ujuzi huo anisadie.
Kwa nini Mod hawagandishi au kunatisha ile thread ya ku unlock simu watu wawe wanaweka maswali yao yote ya kunlock hapo
Hawa viongozi wa JF macho yao ni kwenye siasa tu.