Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Wakuu hii ni knowledge tuuuuu. Kama una simu yeyote ya Android imeibiwa. Hata kama haikuwa na Software yeyote ile ndani na line ikabadilishwa alafu ikaflashiwa sasa unaweza kuipata kiulainiiiiiii. Google wanatrack kupitia IMEI no. Mi jana nimeingia na polisi mitaa ya manzese nikanyang'anya simu yangu mikononi mwa mtoto wa kipemba Uzuri baba yake alivyoelezwa akamwambia anipe mwenyewe. Simu iliibiwa Kariako yapata wiki ikawashwa juzi.
Inaitwa Android Device Manager
Inaitwa Android Device Manager