How to track my lost phone !

How to track my lost phone !

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
599
Wakuu,
Heshima kwenu !
Nawaomba mnisaidie jambo. Mimi nilikuwa natumia Black Berry na imepotea kwasasa lakini nnapata mashaka sana kwamba labda kupitia PIN NUMBER ambayo haiwezi kubadilika labda nnaweza kui track simu yangu iliyopotea ?

Naomba msaada, Natanguliza shukrani !

The fixer,


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom