Ni Software System gani au device ipi inayotumika kutafuta namba ya simu na mahali mtumiaji wa namba hiyo alipo
ipo mkuu mm nilishawahi itumia sema ufanyaji wake kazi ni kuwa unaidownload na kuinstall kwenye sim na kwenye computer then unakuwa unaitumia kama kawaida.nipo na phone now nitakudondoshea nikiwa na computer

no hapana unakuwa huwezi kutrack sim ambayo huja weka hiyo softwere.Mkuu nafkiri labda haujaelewa swali vizuri, maana kama kutrack ur own device unaweza, lakini je kwa hiyo software yako unaweza kutrack # ya mtu mwingine?
no hapana unakuwa huwezi kutrack sim ambayo huja weka hiyo softwere.
ok ww ulikuwa unahitaji ya kutrack namba yoyote hiyo mm siifaham mkuu but naamini itakuwepo lakini itakuwa ni yakulipia na kumbuka kuna post hum ilishwa anzishwaga watu waliandika softwere nyingi sana baada ya mdau kudai kuwa kamtrack dem wake sasa wataalam walipo anza kupinga na kusema haiwezekani ndio wakaanza kushusha hizo softwere na mm ndio nikaipata huku huko mkuu ila nyingi zilikuwa ni zakulipia