How to solve a write protected Error in Flash disk

sorry mkuu natumia window 7 nikishatoka kwenye control registry sioni storage device policies
Google hii kitu add.bat ni kifile kidogo sana ukikidownload unakidoubleclick kinajifunga kwenye mashine,hichi kifile ndio kinasaidia kufunga hilo file la storage device kwenye mashine
 
Ok here is the solution kwa wale ambao Device policies haipo (kama mimi)Start by opening the run dialog box with the keyboard shortcut [Windows R]. Type [regedit] and hit [enter]. This should open the Windows Registry editor.
write_protect_usb-500x161.jpg
Navigate to the following Registry key:HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Control\Look at the sub-keys and see if a key named StorageDevicePolicies is listed. If it is skip this paragraph and read the next. If it is not create the key by right-clicking Control and selecting New > KeySee if there is an entry named WriteProtect. It can be easily created if it is not present by right-clicking in the right window and selecting New > DWord from the menu. The following values are allowed for this entry:
  • 0 – This will allow write processes on USB Flash Drives
  • 1- This will block write processes on USB Flash Drives.
An alternative would be to delete the Registry key WriteProtect completely to enable both read and write processes. A restart or log off is required before the changes take effect.
nimejaribu hii bado flash yangu inakataa. Ila shukran sana mkuu umetupa new tricks
 
Google hii kitu add.bat ni kifile kidogo sana ukikidownload unakidoubleclick kinajifunga kwenye mashine,hichi kifile ndio kinasaidia kufunga hilo file la storage device kwenye mashine
Ahsante Omary. Ngoja nijaribu nitawaletea feedback
 
Nigoonge hicho kitufe pembeni cha thanks
nimeshakibofya. Dah wakuu naona nimejaribu njia zote bado flash yangu ina matatizo haya. Nadhani itakua imeshaharibika. Ila nawashukuru sana kwakweli nimejifunza mengi. Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom