Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 293
Mkuu Heshima Mbele,
Mosi: Nimejaribu kufanya connection ili kuweza kuingiza information kwenye database kupitia html form using php with a file extension .php (as localhost) bila na mafanikio, hivyo naomba msaada katika hili.
Pili: Naomba msaada wa jinsi ya kupopulate information kwenye webpage pale mtu anapotuma comments kupitia the same webpage.
Tatu: Jinsi ya kuritrive information from the database.
Nitashukuru kwa msaada wako.