teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wapendwa naomba kupata app ambayo itaniwezesha ku root simu tajwa hapo juu bila kutumia computer, hapo awali nilikuwa na tecno phantom plus nikairoot kwa kutumia kingroot lkn nilipojaribu kwa simu hii haikuwezekana, je nitumie ipi?
Bootloader kwa kuwa yenyewe ni SIM FREE. Unlock