mkuu cloud service ni sehemu za kustore mafile online so wewe uliwahi kuzibackup hizo data huko? Au hiko kifaa chako automatic kinafanya backup?
Kama uliwahi then utakua na username na password za hio cloud service yake ingia kwa device yako mpya login kwenye cloud service yako halafu sync zitarudi