WAKUU kuna hii post nime itafuta kwa njia ya,,, site:jamii...
lkn sikufanikiwa lkn kuna mdau aliiweka
basi anaiyeikumbuka ani link au anayejua anisaidie ....na-run win 8 pro kwa partion 2 tofauti,,nime format ambayo siitaki lkn kila niki restart bado kuna option ya hiyo nyingine niliyo format... nifanye je?