Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,248
- 6,624
Nenda google tafuta device manager utapata imei namba yako na location ya simu yakohujanielewa mkuu.
Mfano nimepoteza simu na kwa bahati mbaya zaidi Imei yangu siifahamu.
Nafanyaje fanyaje ili nipate simu yangu?
Sawa, ngoja nifanye hivyo nikikwama nitakushtua.Nenda google tafuta device manager utapata imei namba yako na location ya simu yako
The issue is kama umepoteza na hujui IMEI yako imepotea kimoja.hujanielewa mkuu.
Mfano nimepoteza simu na kwa bahati mbaya zaidi Imei yangu siifahamu.
Nafanyaje fanyaje ili nipate simu yangu?
hujanielewa mkuu.
Mfano nimepoteza simu na kwa bahati mbaya zaidi Imei yangu siifahamu.
Nafanyaje fanyaje ili nipate simu yangu?
Muhimu ni kwamba ulogin kwa google accountSawa, ngoja nifanye hivyo nikikwama nitakushtua.
Kuna mdau hapa jf alinielekeza hivohivo na nikafanikiwa kupata imei namba ya simu iliopotea ni rahisi sana. Ngoja ataleta mrejeshoataipataje bila kusign na kuset mkuu mbna unamlisha tango poli IMEI kama aijui na ajasign chochote ataipata kwa provider pekee wa mtandao wa simu ama awe amejisajili wakati wa kuingiza gmail account atie TIC pale anapoulizwa let google backup phone blahblah
mkuu mpe maelekezo ya kina mkuu hivyo atayumba tu huko mbelembele kwa mbele
Ni kweliyah inawezekana ni simple tuu ila kuna vitu lazima uwe umeviseti wakati wa kuingiza gmai acount ni simpe tuu
Tuambie kwanza ni simu gani hioMhh hutak kujifunza wewe