Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 938
- 1,819
Mkuu Facebook team inapatikana kama Vodashops?Simply contact the facebook team with evidence eg. death certificate and ID
This is myth how you can login into account of other person?unafuta mwenyew kama ukiweza ku log in kwenye iyo account ya nduguyo
pole na msiba lakin
Kama simu ya marehemu unayo ni simple sana. Jaribu kureset password ya Facebook na angalia instruction za ku reset zinatumwa wapi. Kama zinatumwa kwenye email nayo unaweza kujaribu kufanya taratibu za ku resent password kwa hiyo watakutumia one time code kwenye namba ya simu ya marehemu na hiyo itakufanya uweze kupata access ya email account baada ya hapo utapata reset link ya Facebook kisha utakuwa umegain full control ya account na kuideactivate. Kwa hiyo lazima muwe na simu za marehemu kufanya hivyo ili kujua namba gani amelink na email au facebook moja kwa moja. Ni process simple ila inabidi ufanye iterations kidogo. Mfano ukikuta namba haipo linked na email ya facebook lazima u trace baadhi ya email account zako lazima kuna moja ipo linked na namba na lazima itakuwa na email ambayo ndo ipo linked na FBNimefiwa na Jirani yangu sasa ndugu wameomba Chonde chonde nifanye lolote account yake iweze Kufungwa hivi inawezekana kweli au Mpaka Niende Ubalozi wa Marekani Dar au Nipige Simu Ubalozi wa Tanzania Marekani Ili wawasiliane na Facebook waweze Kuifunga Account. Mwenye Uelewa na hili.
njia ya ku delete account ilikuwa ndio hiyo kama uwezi ku login kweny iyo account bas tenaThis is myth how you can login into account of other person?
Mkuu hii njia nimejaribu Unfortunately wanasema Ujumbe Umeenda kwenye E-mail na sijawahi Kuifahamu E-mail yake Ingekua Simu za Android Mara nyingi Mimi huwa si logout hiyo hata ningekua nataka Ku reset Ac yangu ingenitumia Email ningeweza kuisoma tuu sasa huyu Alisha logout Katika Email na Facebook A/c yake.Kama simu ya marehemu unayo ni simple sana. Jaribu kureset password ya Facebook na angalia instruction za ku reset zinatumwa wapi. Kama zinatumwa kwenye email nayo unaweza kujaribu kufanya taratibu za ku resent password kwa hiyo watakutumia one time code kwenye namba ya simu ya marehemu na hiyo itakufanya uweze kupata access ya email account baada ya hapo utapata reset link ya Facebook kisha utakuwa umegain full control ya account na kuideactivate. Kwa hiyo lazima muwe na simu za marehemu kufanya hivyo ili kujua namba gani amelink na email au facebook moja kwa moja. Ni process simple ila inabidi ufanye iterations kidogo. Mfano ukikuta namba haipo linked na email ya facebook lazima u trace baadhi ya email account zako lazima kuna moja ipo linked na namba na lazima itakuwa na email ambayo ndo ipo linked na FB
Bac mkuu muachie mungu tuMkuu hii njia nimejaribu Unfortunately wanasema Ujumbe Umeenda kwenye E-mail na sijawahi Kuifahamu E-mail yake Ingekua Simu za Android Mara nyingi Mimi huwa si logout hiyo hata ningekua nataka Ku reset Ac yangu ingenitumia Email ningeweza kuisoma tuu sasa huyu Alisha logout Katika Email na Facebook A/c yake.
Nimefiwa na Jirani yangu sasa ndugu wameomba Chonde chonde nifanye lolote account yake iweze Kufungwa hivi inawezekana kweli au Mpaka Niende Ubalozi wa Marekani Dar au Nipige Simu Ubalozi wa Tanzania Marekani Ili wawasiliane na Facebook waweze Kuifunga Account. Mwenye Uelewa na hili.
No sio kama vodashop. Fungua facebook kuna sehemu wameelekeza "contact us" hapo ndipo unapoelezea tatizo lako. unaweza pia kueleza kwa kupitia akaunti yako wewe kwa kuwapa ID ya huyo marehemu....By the way mimi nina experience na Instagram waliwahi kufunga akaunti ya mtanzania mmoja maarufu ambaye baada ya kufariki watu walikuwa wanaendelea kupost ujinga kwenye page yake bila aibu, ndipo watu wake wa karibu wakatuma uthibitisho ikafungiwa. Kwahiyo naamini hata kwa Facebook inawezekana tuu,Mkuu Facebook team inapatikana kama Vodashops?
Mungu anaweza kuiondoa?Bac mkuu muachie mungu tu
[emoji23] [emoji23]Mungu anaweza kuiondoa?
Kuna linalomshinda ?Mungu anaweza kuiondoa?
Mkubwa ni PM na details za profile nitaweza kukushauri vizuri...Option nyingine jaribu kuwa contect facebook na vielelezo vyote kama ID za marehemu namba za simu na kadhalika wanaweza wakawasaidiaMkuu hii njia nimejaribu Unfortunately wanasema Ujumbe Umeenda kwenye E-mail na sijawahi Kuifahamu E-mail yake Ingekua Simu za Android Mara nyingi Mimi huwa si logout hiyo hata ningekua nataka Ku reset Ac yangu ingenitumia Email ningeweza kuisoma tuu sasa huyu Alisha logout Katika Email na Facebook A/c yake.
Overrated!Kuna linalomshinda ?