Kiongozi Miongoni
Senior Member
- Feb 6, 2021
- 195
- 256
Wasalaam wana wa Jehova.
Zufuatazo ni njia unazoweza kuzitumia kuyakataa majukumu ya kazi kutoka kwa BOSS wako bila kusababisha mgogoro miongoni mwenu
1. Kama hautaki kufanya Safari na boss wako kwa sababu labda una mambo yako binafsi, na ili boss wako hasigundue kuwa hauna intrest na safari hiyo unaweza kumpiga mkwara kwa mfano kama boss wako anataka msafiri kwenda Mwanza unaweza kumwambia kuwa wewe upo tiyari kwa safari lakini unasikia Mwanza kuna maandamano ya machinga.Kama boss wako ana busara hawezi kulazimisha safari hiyo na wewe utafanikisha adhima yako.
2. Kukataa kupokea simu .
Unaweza kukataa kupokea simu ya boss wako na hivyo hawezi kukupa maelekezo yoyote ya kazi na baada ya mda flani unaweza kumtafta na kumwambia kuwa ulikuwa mbali na simu.
3. Kujifanya mgonjwa
Hii pia unaweza kuitumia kukwepa majukumu kutoka kwa boss wako bila kuleta mgogoro ,hapa inatakiwa uwe na doctor special wa kukuandikia sick sheet za mara kwa mara.
Kwa leo niishie hapa.