How to put a lady in da mood

loh ndio shida yetu waafrica badala ya kuwajali wake zetu na kuwafanya nao kama watu sijui twaonaje,even to help ni kitu kigumu n jamii yetu yachukulia kivingine pindi jianamume likiwa lamsaidia mkewe!!!

ukionekana wafua or wapiga deki or watevera hata mara moja kwa mwezi if not week utasikia flani kalishwa limbwata
flani kakaliwa ohh kawekwa kiganjani hahemi hasemi
Haitaishia hapo tu, utapigiwa kabisa huyo mama af utajionea dharau za kutosha. African women are used to be bullied na ndio nature yao ukiwapeleka kinyume utasimulia magoli!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom