Ajabu ipo wapi kutokujua ? vitu vinatamkwa tofauti kutokana na origin ya kitu mfano wewe unaweza ukawa unamwita Kocha wa Arsenal (Wenger) ukamuita Wenga ila wenyewe wafaransa watakwambia ni (Venga) au Thiery Henry ukamuita Henri ila usishangae wenyewe wanamuita Honre kwahio haya mambo mkuu inabidi kuuliza kwanza sababu hata Peugeot bila kuambiwa wewe unadhani utaitamkaje