Hautakufa kwa ngoma ila italea watoto wa watu wanaotumia jina lakomkuu MO11 embu put that into positive way....
Kuvumiliana kwenye nini?Mwanaume na mwanamke mkiwa wachaMungu na mkikubali kuvumiliana ndoa ni tamu
Cha muhimu ni uaminifu, fikiria wewe mwanaume unaamua kutotembea na mwanamke yeyote mwingine zaidi ya mkeo na mwanamke vivyo hivyo, unafikiri kutakuwa na tatizo katika uhusiano huo, lakini tatizo kubwa ni uaminifu si wanaume wala wanawake.what do you mean mkuu
Best friends.... I like thatMapenzi ni two ways direction. Give and take.... baaaasi.
Kama unataka usichitiwe, usichiti
Unataka kupendwa sana, penda sana
Oneaneni huruma
Peaneni moyo
Kusiwe na siri baina yenu
Lindaneni na maradhi
Support each other...
Na kubwa zaidi..... Be best friends. Mwisho wa matatizo na happy ever after
best friend..i like thatMapenzi ni two ways direction. Give and take.... baaaasi.
Kama unataka usichitiwe, usichiti
Unataka kupendwa sana, penda sana
Oneaneni huruma
Peaneni moyo
Kusiwe na siri baina yenu
Lindaneni na maradhi
Support each other...
Na kubwa zaidi..... Be best friends. Mwisho wa matatizo na happy ever after
you have got a point mkuucha muhimu ni uaminifu, fikiria wewe mwanaume unaamua kutotembea na mwanamke yeyote mwingine zaidi ya mkeo na mwanamke vivyo hivyo, unafikiri kutakuwa na tatizo ktk uhusiano huo, lakini tatizo kubwa ni uaminifu si wanaume wala wanawake