How to make a partition on hard disc

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Habari za kazi wanaJF? Nataka fanya partitioning kwa hard disc ya comp yangu, naomba msaada nafanyaje ili niweze kuwa na for example; hard disc drive "C", "D" and so on....tafadhali naomba mnijulishe wakuu. Siku njema.
 
tafuta software inaitwa Partition magic au Partition master kama unatumia windows.Kama unatumia linux tafuta gpart.
 
inabidi ufanye backup,right click my computer utakuta computer management click hiyo ikifunguka utakuta disk management ikifunguka utakuta hiyo drive c sasa hapo hiyo c unaweza ukaigawanya makundi mawili au moja thats it.restart mashine
 
Back
Top Bottom