How to make a negro Christian

How to make a negro Christian

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
6,401
Reaction score
12,010
Hiki Ni kitabu kiitwacho "How to make a negro Christian" (jinsi ya kumfanya mtu mweusi awe mkristo)

Hiki kitabu kiliandikwa miaka ya 1840 na Mchungaji Charles Colcock Jones alikua ni misherani na pia alikua mmiliki watumwa alikua na mashamba mengi anawalimisha watumwa. Yeye aliamini njia rahisi kuwafanya watumwa wakutii Ni kwa kuwabidili dini wawe wakristo Mana katika kitabu chake ameeleza jinsi gani mtumwa mkristo anakua mtiifu sana kushinda asipokua mkristo

1. aliwafundisha watumwa wake wasamehe kila kitu wanachofanyiwa wamuachie mungu Mana mungu ndie muweza wa yote na mtimizaji wa visasi ikawa rahisi kuwatumikisha

2. Aliwafunza watumwa kua kila kinachowakuta Ni mungu kapanga kwahyo hawawezi kuepuka la msingi wakubaliane na hali tu na wasonge mbele ikawa rahisi kuwafanya lolote kwani mungu keshapanga

3.Aliwafunza watumwa kua wawapende maadui zao na wawaombee mema na kweli watumwa walifanya hivyo ikawa rahisi jamaa kusonga mbele na kazi zake huku anaombewa mema na watumwa wake.

4. Aliwafunza watumwa kila wapatapo tabu yoyote na shida yoyote wamkimbilie muumba(yesu) watumwa walifanya hivyo miaka 400 ya utumwa hakuna aliejibiwa

5. Aliwafunza watumwa wasijejaribu kupingana na yeye Mana watapata adhabu ya mungu Ila yeye alikua anabaka watumwa wake hakuogopa hyo adhabu ya mungu..inashangaza

6. Aliwafunza watumwa kua Kuna siku ya mwisho na wao wakitii amri zake ndio yesu atawaridhia Soma Waefeso 6:5-7 "5 watumwa watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani, kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja Kama vile mnamtii kristo. 6 watiini sio tu wakati wakiwaona ili mpate sifa bali mtumike Kama watumishi wa kristo mkifanya mapenzi ya mungu kwa moyo. 7 toeni huduma yenu kwa moyo wote Kama vile mnamtumikia bwana na sio mtu".

Watumwa walifanya Kama walivyoaminishwa na bibilia ikawa rahisi sana kuwaongoza.

Alifanikisha kuwabadili watumwa wengi sana kwa wakati ule na akashawishi wamiliki wa watumwa wengi kusoma kitabu chake na kuwafanya watumwa watiifu Sana.

FB_IMG_1672902224923.jpg
 
hao watumwa walikuwa wapole na werevu sanaa .... vinginevyo wangemsweka mingumiii
 
View attachment 2469518
Je dini ya Ukristo ilianzishwa kwa ajili ya kumtawala mtu mweusi?
 
He was one son of a bi*** if hell exists he is in the gut of it mother f****
 
Kiboko yake Nat Turner mtumwa ambaye alikuja kutumia hiyo hiyo dini kuwaua.
 
Back
Top Bottom