How to make a Natural and pure home made VIAGRA

Baraka, naona umesema watu wenye matatizo ya moyo wasitumie. Ina maana watu wenye matatizo haya hawaruhusiwi kula matikiti na malimao?
 
Mkuu kweli vipimo vya utumiaji ni muhimu alafu pia je hiyo juice unaeza kaanayo mda gani ikiwa imeifadhiwa ktk friji au pengine?
 
Mkuu ujasema kitu kinapanda mara mara ngapi au unaweza kujizuia pale mchuchu akigoma kucheza ka mchezo au nikuangaika paka upate game lingine.?
 
Je hilo tikiti maji unaliondoa maganda na mbegu, kabla ya kulikatakata au inakuwaje mkuu
 
Weka vipimo mkuu unataka kutoa watu roho,halafu maelezo yako yako hayajitoshelezi.
 
Dah! kaz kweli kweli! uliyeanzisha funguka zaidi, unatumia mara moja au ukitumia mara moja ndo mwanzo mwisho? au kabla ya mechi lazma ushitue? unatakiwa kunywa glasi ngapi au vijiko vingapi? funguka kaka
 
Oooh mungu wangu'wajalie hawa wanaume wenzangu nguvu kwani wanakosa heshima katk ndoa zao', pia kumbukeni kuheshimu vyakula vyenu sio kula vyakula visivyo na tija then mnalaumu,hangaika kutafuta dawa' nashukuru mungu kaniwezesha kuwa fiti coz bila bao saba (7)hakijaeleweka kitandani japo bao la kwanza linawahi sana coz huchukua kama dk10.
 
2. Katakata tikiti maji vizur na lisage
kupata juice yake
3. Chukua kisufuria weka hiyo juice
ya tikiti maji na anza kuichemsha
Toka lini juice ikachemshwa?
 
Ha ha ha! Haya kanene ngoja basi niwasaidie wenye matatizo ndugu yangu.
Oooh mungu wangu'wajalie hawa wanaume wenzangu nguvu kwani wanakosa heshima katk ndoa zao', pia kumbukeni kuheshimu vyakula vyenu sio kula vyakula visivyo na tija then mnalaumu,hangaika kutafuta dawa' nashukuru mungu kaniwezesha kuwa fiti coz bila bao saba (7)hakijaeleweka kitandani japo bao la kwanza linawahi sana coz huchukua kama dk10.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom