Kama ndio umejiunga inatakiwa ukae masaa 24 hadi 36 ndio inakuwa active online then unajisajili paypal.com kwa kujaza fomu so wao wataangalia kama kadi yako iko online kama haiko online hauwezi kujiunga nao.