Habari wapendwa wote wa jamii forum?
Hongereni na mihangaiko ya hapa na pale, husika na mada naomba kujuzwa na kueleweshwa jinsi ya kunstal apple final cut kwenye computer inayotumia windows badala ya ile mac, maanake napenda sana nijifunze kutumia final cut na sina computer ya mac
natanguliza shukrani za dhati kwa wataalamu wote wa humu jamii forum