angalia comments za hiyo link hapo. nyingi zao ni negative. most of the time zile default values ni bora au tuseme ndio optimal settings, labda mtu upunguze upload speed kwani ISP wetu wengi ni vimeo katika upload speed.....
kama bado inajikokota jaribu kutumia http torrents download kama vile zbigz na wenziwe lakini unahitaji mshiko kidogo (kama elfu 20 kwa miezi 6) ili utumie premium service...... au speed yako itakua 150kb/s maximum