KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,879
- 40,031
Hizo sifa zote unazo....????Mi binafsi nimekuelewa
Hizo sifa zote unazo....????Mi binafsi nimekuelewa
Hivi kujitambua maana yake ni nini? Huu ni msamiati mgumu sana kwangu...
yoote haya ni kwasababu ya ongezeko la wanaume wapenda ubwete, wavivuuu wanajaribu kuumba tabia zakuendana nao
yoote haya ni kwasababu ya ongezeko la wanaume wapenda ubwete, wavivuuu wanajaribu kuumba tabia zakuendana nao
1. She must be God-fearing.
2. She must not be materialistic.
3. She must show signs of being a good home maker.
4. She must show signs of discipline.
5. She must always be sensitive to your needs.
6. She must not be crafty or being too smart.
7. She must be humble and obey the man.
8. Even if she is the rich one, she must be submissive (forget about all these feminist rubbish) a woman cannot make a home without a man.
9. She must not disclose her man's short-comings to a third party, not even parents.
10. She must always be cheerful.
If you are a Woman, score yourself over 10 and let's see if you are a good wife material.
Source: DC FORUMS ⢠Index page
you think so?? i would like to find out....
mimi kwa experience yangu...sifa ni moja tu...ila ni shida wanawake wengi kuwa nayo...wife material ni mwanamke ANAEJITAMBUA..ila kumpata sasa..
Kujitambua kwa mwanamke ni ile kujijua yeye ni nani, nguvu zake, thamani ya uanamke wake, akiamua kuwana mahusiano serious anjua nini anataka kwenye mahusiano na atapata vipi.! Kujitambua kwake kunamfanya achague mtu bora na avutie watu(wanaume) bora kwenye maisha yake..mwanamke anaejitambua automaticaly anakuwa mvumilivu, anakuwa anajua maisha hasa kutafuta maisha, automaticaly anajua malezi nk..ila sasa kuwa na hizo quality inahitajikaziya ziada na majaliwa ya munguHivi kujitambua maana yake ni nini? Huu ni msamiati mgumu sana kwangu...
Ni kweli mkuu..ukimkuta mwanamke anajitambua maisha yanakuwasafi mno..ila unfortunately malezi ya watoto wakike wabongo hayawafanyi wawe wanajielewa na kujitambuaHasa kuielewa hiyo dhana ya "kujitambua" manake kwa wengine kujitambua ni kuwa juu ya kichwa cha mwanaume by any means.
yoote haya ni kwasababu ya ongezeko la wanaume wapenda ubwete, wavivuuu wanajaribu kuumba tabia zakuendana nao