Teh teh eeh pole, bado kamoja tu halafu sitoi tena mwezi mzima
labda kama hamna mapenzi ya dhati kwenye hiyo romance!
Saizi nikiona uzi wako hata sisomi na print tu for future reference....LOL....
usinambie una mpango wa ku do ze nidiful? mmmh?:israel:
Office romance? mind you, new love is very exciting, and you may end up going deeper. This is because in most cases, marriaege love is routine, watoto, pesa, mafundi, wakwe, karaha za kazini na majirani. By the time mnapenda kitandani kila mtu amechoka kutatua matatizo. Lakini pamoja na hayo, if you communicate, you 2 can work out a tailor made love which suits your needs.
On the other hand, office romance ni nzuri, hakuna worry ya shida ya umeme, maji, kodi, watoto, wakwe kwa kuwa kila mmoja wenu amemaliza hizo worries na mkewe/mumewe. Hata hivyo, Kama mwenzako anakufahamu vizuri na yuko attentive, atagundua. Kuna sehemu tu utateleza...... yameshawatokea watu wengi! Do not fall for it
Hapana... si unaelewa tena kua "KNOWLEDGE IS POWER" never know when to use it...
Mmmmmmh..
we are in 'the same office now', and as you know, I am between 30 and 39....no longer 'immature':ranger:
Mind a little romance? I really hate it if you take it too seriously and once you have the taste.....
now c'mon gal...lets have some coffee..mmh:ranger:...by the way, I have some sweets with me, your favourite ones...c'me and get 'em..:busu
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: You always confuse me when you talk about sweets.... I think we should find a new word for it...LOL ... I radher like..
what would you prefer babe.....(that alternative word for sweet will get us behind bars here)
I get it ... thats why nilishindwa... but worry not... once we rumble then we will decide...