JINSI YA KU-HACK SYMBIAN NOKIA AGAIN!!! BILA .cer &.key

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
769
349
Heelow Again JF!!
Im back...Nimefanikiwa kuichakachua Symbian bila key wala cer...Thanks to PHNT
Wana symbian wenzangu ule mkwara wa NOKIA kuzuia kutoa tena key na cer kwa ajili ya kuhack simu za symbian umeteguliwa tena
Yes!! Bila key wala cer sasa waweza CHAKACHUA NOKIA.
BACKGROUND:
Njia iliyokuwa inatumika kuhack symbian ni kwa kutumia app kama Helloox,Just Hack it.steven... ile ya kichina ila zote zilikuwa unatafuta cer na Key
na ni zile key zenye uwezo wa 17 capabilities yaani kama Developer
sasa guess what...Nokia waka funga site yao yenye source code ya kutoa keys na certs...so njia zote zimekufaaa no more haziwezi fanya kazi!!
THE TRICK:
Software zote unazozijua wewe zilikuwa zina sign hiyo hacking app ambayo yenyewe inaenda ku install install server kwenye sys/bin
ambapo hapo unaweza kuinstall chochote..
So the new way ni kutumia ROM PATCHER ambayo ina patch sys/bin kuwa availlable...anyway tuyaache!!
THE NEW WAY:
Njia hii mpya ni kutumia COOKED firmware yaani firmware iliyo chakachuliwa,NOKIA COOKER na Phonex suite. so jinsi ya kuchakachua ni rahisi kama hutaipata
online kwa google
HOW:
Requrement DOWNLOADS FILES:zote utazipata at(Symbian Toys - Symbian Softwares for Series 60 Phones - Guardian - UnlockMe! - FlashSMS )
-NaviFirm +
-Nokia Cooker
-phonex suite for flashing waweza check google
-ROM PATCHER+

1-Angalia firmware ya symbian yako kwa kubonya *#0000# Ukishaipata, fungua NaviFirm na select simu yako na download firware ambayo sawa na ya simu yako tu.
2-Download Phoenex suite na install kwa pc yako
3-Copy firmware uliyodownload kwenye folder na rename liwe RM-XXX (XXX inamana code yako itaonekana ukibonya *#0000#) Halafu hilo folder lipeleke kwenye
program file > Nokia > Phonex >Products na upaste humo hilo folder la RM-XXX
4-Sasa ni muda wa kuchakachua, Fungua Nokia Cooker na open lile folder la RM-XXX na ufungue file linalo ishiwa na .UDA
5-Ukishafungua UDA nenda kwenye sy/bin halafu minimize kwanza
6-sasa fungua Room patcher uliyo idownload na copy mafile matatu tu!! yanayoishia na .dll na ukayapaste kwenye sys/bin pale kwenye nokia cooker na usave.
7-Tayari umesha chakachua firmware uliyo idownload. sasa bado kuiweka kwenye simu.
HACKING YOUR NOKIA:
Chomeka simu yako kwa USB cable halafu
1-Fungua phonex select connection kama imekubali itatokea usb RM-XXX
2 Bonya file > open product > select RM yako halafu ok itaonekana pale chini.
3-Now bonya flashing > bonya vidoti vitatu kuselect code ya simu yako.
4-Bonya firmware update na fata maelekezo hadi mwisho.simu ikimaliza salama ita restart.
5-ukimaliza install rompatcher.sis ambayo ulidownload kwenye folder la rompatcher.
ukisha install fungua na bonya option apply rom patcher then done!! You hacked it!!
<Ila plz plz plz kama hautakuwa maakini unaweza brick simu yako aka ukaiua!! hakikisha umefatisha vizuri kama unaswali ni bora uulize kwanza>
hadi naandika hii nimesha Hack nokia e52,e63.e73,e72 na bado washkaji wana niletea more this week end!!
cheers and Happy Hacking!! lol
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom