Mkuu,
Uki hack utani pm na mie nijilie vyangu. Natumia Techno N 7 na kwa msaada wenu wa VPN Droid nafaidi sana internet connection bureeee....
umepotea sana mkuu
hasa hawa wanaouza vpn waziwazi bila woga akina njuwa na marafiki zake. vijana wa siku hizi bure kabisa
yani umenianza kunitamanisha niagize ps3 sasa naona nakuwa mpwekesana tu. between xbox na field, muda wa internet umepotea kabisa. naingia tu hewani nikitafuta tips za COD Black Ops 2:A S wink:
There's a price for everything... As a smile user I think price is directly proportional to their service, and as long as Voda, Airtel etc don't bring up competition expect prices to hit the roof... And hacking inarudisha maendeleo tu
Hawalipi kodi blaza, wanachuma vyetu waenda kuvilia nje na wa nje wenzao. Hacking inasaidia na sisi tugawane japo kidogo kilichopatikana, ni ujamaa tu.
hawa jamaa wako fast net yao si kawaida, kama unashusha mzigo movie ya mb700 haimalizi 10minutes ila cost zao zimechangamka kwelikweli... kama kuna mtu anajua kuhack kidogo tupate window ya kushusha mizigo tujuzane!!!!
yani umenianza kunitamanisha niagize ps3 sasa naona nakuwa mpweke
kwanini?kaka bora utafute xbox. niulize kwa nini😛lane:
hii ni mchina wa
hata kama games za PS3 ziko nyingi bongo kuliko za Xbox, Xbox ni rahisi kuhack kuliko PS3. PS3 phat na slim za mwanzo ambazo zipo kwenye 3.55 FW ndo the only hackable ones mpaka leo wakati Xbox za kila aina zinaweza kuwa hacked. tena DIY. hii ya kwangu nimenunua kwa mwarabu hapa atown bei chee nika flash dvd drive yake sasa nakula game za burnt copies. tena sema tu atown siku hizi sina net ya uhakika ningekuwa na games zaidi ya 20 mpaka hapakwanini?
lol si unaona hata kuna utofauti tofauti maana mchina hawezi kuiga 100%