Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
habari zenu wanaJF,
ninatumia nokia 5235. Katika kujaribu kwangu kupata baadhi ya application ambazo ninangeweza kuzitumia kwenye simu yangu na ni fullversion(cracked applications) naona kwenye baadhi ya watu wanaoupload hizi applications waweka note wakisema "this will work if your phone is hacked"..sasa naombeni mnielimishe na kunifunza wanachokimaanisha....
Je wanamaanisha nichukue simu nyingine nihack simu yangu(kama tunavyoelewa jinsi computer moja inavyotumika kuhack katika computer nyingine) au huku kuhack ni kwa namna nyingine...
Famous hacking program ya nokia now inaitwa helo0x ila nayo ipo unsigned so download helo0x signer kwenye website yao then sign kwa ajili ya simu yako website yao ni helo0x.com
Nb: haihitaji knowledge yoyote inanafanya everything hii helo0x
Af mkuu niliku PM kuna issue nilihitaji unisaidie naona kimya!
am very good on cumputer stuff I know how to trace phone Ip address to crack anything just pm for more information
sasa kama lengo lako ni kutusaidia kwanini usituelezee tu hapa mpaka tukuPM?..am very good on cumputer stuff I know how to trace phone Ip address to crack anything just pm for more information
habari zenu wanaJF,
ninatumia nokia 5235. Katika kujaribu kwangu kupata baadhi ya application ambazo ninangeweza kuzitumia kwenye simu yangu na ni fullversion(cracked applications) naona kwenye baadhi ya watu wanaoupload hizi applications waweka note wakisema "this will work if your phone is hacked"..sasa naombeni mnielimishe na kunifunza wanachokimaanisha....
Je wanamaanisha nichukue simu nyingine nihack simu yangu(kama tunavyoelewa jinsi computer moja inavyotumika kuhack katika computer nyingine) au huku kuhack ni kwa namna nyingine...
Mkuu nitumie email yako nkutumie a zip file lenye tool ya kuhack phone yako.
ni2mie kene pkgmalele78@gmail.com na2mia nokia 6280
be carefully unaweza ukajuta ku hack cm yko..bt kam haujal jarbu
Famous hacking program ya nokia now inaitwa helo0x ila nayo ipo unsigned so download helo0x signer kwenye website yao then sign kwa ajili ya simu yako website yao ni helo0x.com
Nb: haihitaji knowledge yoyote inanafanya everything hii helo0x
lazma ni unganishe cm yangu kene laptop?