love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,163
Umesema God is watching, na kwa kuwa wewe ni Malaika, sitabisha. A question tho; for how long will he be watching? and...should we be concerned?

Umesema God is watching, na kwa kuwa wewe ni Malaika, sitabisha. A question tho; for how long will he be watching? and...should we be concerned?

Kuna wanawake kwa ajili ya kupotezea muda tu ambao hawafai kuolewa kabisa na kuna wanawake ambao wanafaa kuolewa. Sasa ukiona umekaa miaka 6 ukaachwa ujue hufai kuwa mke kabisa sema tu bahati mbaya umeumbwa mwanamke

Mwambie tu ukweli ili akipata wanaeendana aoleweKuna mmoja anasema hata miaka 10 yupo tayari kunisubiri ili nimuoe. Namuonea  huruma she's too kind, nawaza vp ikitokea nisipomuoa🙁
Mwambie tu ukweli ili akipata wanaeendana aoleweKuna mmoja anasema hata miaka 10 yupo tayari kunisubiri ili nimuoe. Namuonea  huruma she's too kind, nawaza vp ikitokea nisipomuoa🙁
Nilishamueleza ila mgumu kukubali hali halisi, bado ana imani nami. Me pia sitak kumpoteza ila kama itabidi basi sina jinsi.Mwambie tu ukweli ili akipata wanaeendana aolewe
Bonge la jibuKujuana kunafichua madhaifu
Watu na vipaji vyao.Miaka 6 upo tu wooooiiiii
Tatizo tuki gombana nyie huwa na kauli chafu sanaNyie wanaume uwa siwaelewi. Na hakuna kesi mbaya kama hizi za watu wanaopendana alafu wakagombana. Yan unaweza kuona hapa upendo hakuna kabisa lakini after sometimes wanarudiana tena. Unajua uwa nashangaa sana.
kuna mzee (amestaafu 2017),rafiki yangu sana.eneo ambalo nafanyia kazi yeye alifanya kazi miaka 30 ilopita.kwenye utani nikamwambia kwa nn ulimwacha upendo ukamchukua bahati enzi hizo na upendo umekuwa nae mda mrefu jamii inajua upendo ndo ataolewa ukilinganisha shepu elimu mnaendana:-My singles, lets hear what these married folks have to say kwa kweli. Maana wengi wangetamani kuendeleza girfriend/boyfriend to wife/husband, lakini wengi mambo huenda ndivyo sivyo. Kuna watu unawaona wanaendana hadi raha lakini inakuwa hola! Nini kiweje? kuna formula au hakuna? Nini kinamuweka mtu 6 solid years kwenye u girlfriend/boyfriend then anakuja ingia mjengoni mtu mpya hata 6 months hajamaliza.
Yani unashuhudia mdada kaachwa solemba kwenye mataa na kipete chake kidoleni, mwingine ashafua sana majeans na kudeki kwa mkaka, amepika amepakua, mwingine kajibebesha mimba kamzalia jamaa lakini waapi! ila wanaume nyie nyie God is watching. Hivi kwani kama unamipango yako mingine why umkeep mtu kwa matumaini muda mrefu? Au wadada wengine ving'ang'anizi? Na wale wengine wasotea miaka sita ndo wanaingia huko lol!
Mnacheleweshwa na nini kwani jamani? Hayaaaa mje mshushe experience zenu na mawaidha hapa ili watu wasiimbe sana ule wimbo wa teeeenda miujiza Bwana teeendaa muuujiiizaaa usiache Mungu mwaka huu upiteee bila kuteeenda Muujizaa, it may help! Hamuwezi jua walioko kwenye hilo janga labda wakajikwamua.
Karibuni
Chaa hv mabinti wana shda gani..mwanaume hana mwelekeo mpe live usipooa wataoa wenzakooo,ieleweke wazii...tunayashuhudia ya Zama vs Ruge in the mean timeKuna mmoja anasema hata miaka 10 yupo tayari kunisubiri ili nimuoe. Namuonea  huruma she's too kind, nawaza vp ikitokea nisipomuoa🙁