sasa mkuu kama may be links za ku download nataka nizi shrink iliniwe paid by jamiiforums.com njia ipi hitakuwa nzuri kuwa paidKufungua website ni kazi ndogo sana kuliko kuitangaza hadi ikafahamika na kisha kuvutia clients! It can take you a year or so without getting clients for your site! So, badala ya kuumiza kichwa ni namna gani utaweza kulipwa, concentrate on how u're gonna make ur site know and attract clients!! Narudia, hii ndio kazi ngumu na usipokuwa determined, utaachia njiani!Kama ni muhimu kufahamu ni njia ipi that's all depend na vile utakavyokuwa unafanya! Kama just watu wawe wanaweka Ads zao(locally) basi njia pekee na rahisi ni through mobile money.....M-Pesa, Tigo Pesa and the like! Jambo la msingi kwako ni kuwa na service ya ku-create Banners coz' si clients wote wanaweza kuwa na Banners in the first place! Hata hivyo, ikiwa unafikiria ku-create Pay To Click (PTC) system, am afraid itakusumbua na katu sikushauri...!!
Check with jamiiforums.com kama wana-accept Payza....ingawaje sio mzuri as compared to Paypal, lakini payza ina-accept payment to TZ.sasa mkuu kama may be links za ku download nataka nizi shrink iliniwe paid by jamiiforums.com njia ipi hitakuwa nzuri kuwa paid
labda nipo wrong maana nnachojua mimi kutosuport kulipwa tanzania si kosa la paypal bali ni kosa la miundombinu yetu tanzania.
Debit card zetu haziruhusu kupokea hela bali kutoa tu. Kupokea ndo zimeanza atm tena chache tu dar.
Hapo itabidi either ucheat na paypal au utafute makampuni kama liberty reserve then una earn hela kutoka liberty reserve then hela utayopata uitumie online tu bila kuiona kwa cash.
Ninaposema kuwacheat paypal namanisha kutafuta vpn then kuregister paypal kama sio mtanzania (maybe ujifanye unatoka uk) then usilink paypal na card uwe unareceive hela paypal na kufanya purchase za online.
mkuu hapo nimekusoma I see kwa hiyo ni ki hide IP yangumfano kwa kutumia GURU nikajidai nipo uk mambo yatajipa eti
naona hii ndonjia ngoja nione mwishoni mwa mwez huu make inabid ni receive payment
mkuu ni risk lakini maana public ip kama hiyo unaweza kuta kuna watu kama 1000 washaitumia kuregister paypal so unaweza ukapigwa ban sometime.
Tumia liberty reserve kama hizo payment zako zinasuport