How to fix Playstore error

Inaonekana unatumia VPN. Jaribu kutumia bundle la kawaida bila VPN then rudi. Itakubali. Mimi inatokaaga occasionally, ninafanya hivyo.

-callmeGhost
 
Inaonekana unatumia VPN. Jaribu kutumia bundle la kawaida bila VPN then rudi. Itakubali. Mimi inatokaaga occasionally, ninafanya hivyo.

-callmeGhost
Mkuu kwani ukitumia vpn bando lako alitumiki au#kitongandohabari#
 
inaonekana unatumia operamax. Jaribu kui'deactivate
 
Mkuu kwani ukitumia vpn bando lako alitumiki au#kitongandohabari#
Sema wanona location tofauti, so wanadoubt kama ni robot or something.

Kuhusu VPN, ni PM haya sio mambo ya public.

-callmeGhost
 
Sema wanona location tofauti, so wanadoubt kama ni robot or something.

Kuhusu VPN, ni PM haya sio mambo ya public.

-callmeGhost
Mkuu nime uninstall VPN lakini bado imekataa
NB: Natumia Custom ROM
 
Mkuu nime uninstall VPN lakini bado imekataa
NB: Natumia Custom ROM
Sijui unatimia simu gani ila nenda kwenye apps. Tafuta playstore, clear cache na clear data then force stop it. Jaribu kufungua tena.

Ikigoma, nenda settings, accounts alafu futa Google account. Login upya.

Mimi yangu ilitokea hivyo sema tatizo langu lilikuwa kwasababu natumia VPN.

-callmeGhost
 
Mazee wa VPN naombeni kujuzwa nani anatoa hii service kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…