How to fix corrupted USB flash or USB flash with no media

How to fix corrupted USB flash or USB flash with no media

JosephNgale

Member
Joined
Sep 4, 2021
Posts
17
Reaction score
15
Wakuu habari za wakati, nimeona niandike title hapo juu ili kusaidiana na kufundishana namna ya kuzirejesha pen drives with no media au corrupted. Shiriki nasi ujuzi wako wa namna unavyotatua tatizo hilo kwenye USB Flash drive.
Naomba kuwasilisha
 
Kwa Kutumia command ya Ku clean drive, ambayo ni kufungua cmd as admin, the andika diskpart, list disk , select disk x (x ni drive letter) then type clean
kama ni Original drive itakubali but itafuta kila kilichopo ndani ya usb drive kama ni fake haitakubali!

 
Back
Top Bottom