How to enable call barring?

Simu ndogo za vitochi na baadhi ya smartphone unakwenda tu setting unatafuta call setting kisha unaweka on ama off.
 
Kwa Android click phone kama unapiga simu, juu kulia click dots 3 nenda setting kisha call setting kisha other feature(simu nyengine inaweza isiwepo) kisha chagua call barring, iache iload itakupa options.
 
Kwa Android click phone kama unapiga simu, juu kulia click dots 3 nenda setting kisha call setting kisha other feature(simu nyengine inaweza isiwepo) kisha chagua call barring, iache iload itakupa options.
Issue ni password mkuu! Kila mtandao una password zake ili uweze ku activate hiyo call barring zamani tulkuaga tunajiwekea tu 1234 au 0000, Nilikuaga nazo za mitandao baadhi hasa voda, tigo na halotel ngoja nizitafute ntaziweka hapa.
 
Kama unataka ku-activate call barring kwa incomiming kupitia USSD bonyeza *21*0754125125#
Hakuna simu itaingia hapo, ni sms tu.
Kuondoa ##002#
AU
Tumia njia ndefu ya kwenda setting ya call kama walivyosema hapo juu.
Password kama sio 0000 basi ni 1234 au 1111.
 
Option inanipa sana ila password ndio tatizo, hizo 0000, 1111, 1234 hazikubali.
 
Hazikubali hizo washablockigi kitambo tu.

Nipo natafuta, sikumbuki nilizisave wapi ila nilizitunzaga kabisa passwords za mitandao kadhaa sehemu moja.
Kama mtandao ni Vodacom password ni hizo hapo juu na inakubali ila airtel waliniambia hawana hiyo huduma, tigo sijawahi kua nao na halotel ama TTCL.

Kwa Vodacom kama sio hizo ukiwapigia wanakupatia mpya hawana shida.
 
Mm hizi passwords zote zimegoma,its almost a week,line ni ttcl
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…