Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
na ikifika asubuhi kunakua Giza??hivi ezden nae kale ka shooting kake sijui nan alikadirectLakiz hz web camera kukiwa giza zinauwezo wa kushut kwer coz mi nakaaga giza tuu kwenye room ili zisnshut
Mbona niki test phone camera to phone camera siioni.?
Mbona niki test phone camera to phone camera siioni.?
Wale wazee wa ile kitu unauthorized umewasaidia sana kwa hii mada,watakushukuruje.Kuonekana kwenye global publisher ni soo
chukua remote ya tv then fungua camera ya simu halafu elekezea remote kwenye camera ya simu huku unabonyeza, utakuwa unaona mionzi ya infrared.
simu kwenye chumba usiku, camera inayoona kwenye giza itakuwa tu nayo inatoa mionzi fulani ili kukuona wewe. japo kwa macho huioni ila camera yako inaiona hio mionzi.
Labda kwa sababu phone camera siyo pinhole camera,mimi napita tuMbona niki test phone camera to phone camera siioni.?
Haya bwana na kama zipo koridoni utamtanguliza mhudumu na utaomba taa za koridoni zizimwe?Kwenye camera za ulinzi zinakuwa na infrd,na ni rahs kuzjua kama ukizma taa na unazfaham infrd vyema,otherws hakuna camera ya kawaida itakayopga picha gizan bla flash,kwahyo hakiksha hotel rum imezmwa taa zote kabla hujaingia,mtangulize mhudum kwanza,then ingia ukague bla kuwasha taa,
hua nakua makin mida hii sijiachii katika chochotena ikifika asubuh i kunakua Giza??hivi ezden nae kale ka shooting kake sijui nan alikadirect
Haya bwana na kama zipo koridoni utamtanguliza mhudumu na utaomba taa za koridoni zizimwe?