How to delete temporary files in your PC/Laptop? Does it improve performance?

How to delete temporary files in your PC/Laptop? Does it improve performance?

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Wadau kuna jamaa nilikuta ana tendency after every week ainaingia somewhere ( siijui nataka msaada apa) anafuat temporary files, yanakua mengi sana! binafsi sijawai fanya ivo kwa mashine yangu na ina like 3yrs now? naomba msaada how to do it? na pili je ni kweli ina imrpove performance ya mashine?
 
TEMP files zina effect ndogo sana kwenye Performance ya PC yako, lakini kama ina miaka mitatu inaweza kuwa na effect kwenye storage space ya hard disk yako... cha kufanya nenda kwenye My Computer then kwenye Local Disk C right click then chagua Properties... Kule kwenye properties kuna Disk Cleanup..... Chagua files zote za kufuta... Baada ya hapo unaweza kwenda kwenye advanced mode ambapo unaweza futa System Files kama Windows Previous installations.(Windows.old)..



Kwa upande wa performance ya PC yako.. Shikilia Windows+R then type msconfig.. hapo utakutana na Startup Applications.. Disable zote isipokuwa System Applications..
Option hii kwa Windows 8 na 8.1 unapata kwenye Task Manager kwenye more details then Tab iliyoandikwa Startups
 
Ndugu bona , Fuata maelekezo hapa chini

Kipengele namba 3 - Ni iwapo PC yako inakawia kuwaka au kuzima
  1. Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R ,Kisha andika %temp% hapo itafunguka folder yenye files nyiingi delete files zote
  2. Rudia tena Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R , Kisha andika prefetch itafunguka folder nyengine yenye files nyiingi delete files zote
  3. Rudia tena Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R , Kisha andika MSCONFIG , Kisha click Startup tab , Then click Disable All , Click Apply then OK- Restart PC
  4. Download CCleaner hapa| http://goo.gl/0mI9dQ
Angalia hii video ili kujifunza jinsi ya kutumia CCleaner


  • Mpaka hapo utakuwa umeondoa tatizo ulilokuwanalo na pia utakuwa umeongeza ufanisi wa PC yako kwa asilimia 70
Ukimaliza hilo zoezi hapo juu Unistall Antivirus unayotumia sasa na install hiyo niliyokutumia kwenye PM
KARIBU Ndugu
 
Last edited by a moderator:
Njia rahis. Ingia my computer zen rights click kweny partition ambayo ina windows zen select properties.
Itakuja kawindo chenye properties za hiyo partition yako zen utaon option ya dick cleanup. Hapo utwez kudelet temp file na file zingine ambazo hauzi2mii kirahis
 
You are very right! Hua nina tabia ya kufuta temp files ila nilikua sina tabia ya kucleanup disk, sasa juzi nilikua na install Cygwin na nikawa nataka kuilink na Oracle's virtualbbox ikawa inagoma kabisa..yaani programs zangu niki run kwenye cygwin zinashindwa kufungua zile files za virtual box na nilikua nime update PATH env, katika kusoma mtu akasema ni clean registry na defragment disk, nikafanya hivo ikakubali ...nilishangaa!
 
Back
Top Bottom