Hapo ina maanisha unatumia simu ambayo haitumii android os au kweli unatumia android ila memory allocated na whatsapp kwa ajir ya kutunza message( temporary ) bado haijazidiwa
Hapo ina maanisha unatumia simu ambayo haitumii android os.
Kama umepost kwenye group wanaotumia android wamekua affected
Hiyo ndio solution ya tatizo hilo.Hata mimi nilifikiria hilo pia, kwa hiyo yeye katuma message ndefu kuliko inavyoruhusiwa na Whatsapp, lakini haijafikia kiwango cha ku crash system bado?
Wangetakiwa kufanya check ya ukubwa wa mesage kabla ya kutuma.
pseudocode
Do
message.size.check
If message > xkb display "Mesage too big, reduce size"
Else send
Kama inazidi size haitumwi, inakuambia mtumaji message kubwa sana uipunguze.
Hiyo ndio solution ya tatizo hilo.
Ila badala ya kudisplay message to big reduce ,kwanini usi-create new memory yenye size ya message husika. Na kufree old memory
Natumia adroid, na niliyo watumia wanatumia android.....
Haijafanya lolote kwangu nimejaribu kwenye both devices....Nokia E5 i mean symbian n G Flex Lg android haija crush kwangu wala kwa nilio watumia naona wapo online tu wananishangaai keep blamming my self why i've tried this out to test Zuckerberg Skills. PlankA.Make Someone Leave a WhatsApp Group B.Force them to Delete your old WhatsApp Conversation C.Crash their WhatsAppWhatsApp ina-crash ukituma message yeyote inayozidi 2k ya memoryJust copy this Message and Send it to that Person or Group :
mkuu umejaribu,,,au unaanza kubsha 2,??
Sometimes, shit happens. good shit, bad shit, crazy shit. but the most important shit... the shit that matters most... well, you have to make that shit happen!Haijafanya lolote kwangu nimejaribu kwenye both devices....Nokia E5 i mean symbian n G Flex Lg android haija crush kwangu wala kwa nilio watumia naona wapo online tu wananishangaai keep blamming my self why i've tried this out to test Zuckerberg Skills. Plank
Sometimes, shit happens. good shit, bad shit, crazy shit. but the most important shit... the shit that matters most... well, you have to make that shit happen!
Wameipata?
Yeah, ila haina efect yeyote.