Nawashukuru wote mliochangia mawazo;Ahsanteni sana!!!
Kwa yeyote mwenye shida kama yangu njia bora ni ile ya pili aliyotoa Mr. Kang, yaani kutumia 'Digital camera kupiga picha zile X-ray image' baada ya kuziweka kwenye Light box na baadae unazi'download' na kuzi 'attach' tayari una soft copy!
Cheers!