Waungwana naomba mnisaidie niweze kutumia huduma tajwa hapo juu.
Nina mail address ya yahoo (like most of the africans!!) na nimejaribu kufuatilia maelakezo yao bila mafanikio.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Waungwana naomba mnisaidie niweze kutumia huduma tajwa hapo juu.
Nina mail address ya yahoo (like most of the africans!!) na nimejaribu kufuatilia maelakezo yao bila mafanikio.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Ndugu, kama unatumia yahoo ya bure hutoweza kuitumia kwenye outlook kwani hai support Pop3, imap, na hii wamefanya hivyo kwa kuwa ni ya bure lakini kama unatumia yahoo plus utaweza kuitumia kwenye outlook kwani yahoo plus ni ya kulipia..
Yahoo ya bure unapewa access ya kutumia bure kwa kuwa unatembelea kwenye website yao na kuona baadhi ya matangazo waliyo yaweka kwenye website yao, hivyo ukitumia outlook hutoona matangazo yao na ndio maana hawatoi hiyo huduma kwa A/C ya bure.
Kuna njia za kiuhalifu zinatumika ku-configure A/c ya bure ila mara nyingi huwa hazifanyi kazi na hivyo kuhatarisha usalama wa data zako kwenye E-mail yako.
Na kushauri utumie Gmail kwani wao wanakupa full Access ya E-mail yako ikiwa ni pamoja na ku-forward e-mail zako wakati zitakapo tumwa na kwenda kwenye A/c yako nyingine bure na N'K.