Mi nilijua tu hao ni matapeli maana sijaona mtu kafanikisha hili zoezi
Waliofanikisha basi ujue walinadili motherboard na pesa yake ni ndefu
Anyway huwezi jua labda ipo namna
Hiyo sijui km itakuwà rahisi maana hawa jamaa carrier lick wanatoa kwa bei ya £100 na mimi trade credit card yangu ina balance ya £60 hivyo inapungua £40 sijui km atakuwa tayari kuongeza hicho kiasi kinachopungua