Abuubakar munis
Member
- Dec 14, 2011
- 51
- 5
unatumia device gani
unatumia simu gani?
hawa watu ndo hua wana nichosha!! ana omba msaada then ana yeya kimoja
unatumia device gani
natumia nokia 6234..
natumia iPhone4
Ukila vya watu ni sharti ulipe, dawa ya deni ni kulipa sio kutafuta namna ya kupotezea.

kwa simu hiyo mkuu, nasikitika kusema hauto fanikiwa, labda wapigie mtandao wako wakusaidie
nashkuru kwa taarifa hyo mkuu lakin hebu nambie aina ya simu znazo saport hii kitu??
kwa simu hiyo mkuu, nasikitika kusema hauto fanikiwa, labda wapigie mtandao wako wakusaidie
kama ingekuwa simu ya android, blackberry au iphone hata windows phone ingewezekana, pia baadhi ya low end samsung zina feature ya kublock simu na messages

ndo nimemwambia ka vp ahame huko kwenye featurePhones, aje huku kwetu