Salyeem Elmuharam
New Member
- Apr 20, 2018
- 1
- 0
Man simple tu. Distract yourself.For years now ,it is my weakness to watch porn videos. But unfortunately I can't control ma self to it even though I have committed ma self not to watch them.plz any one with an idea!! Frankly I need it.
With what?Man simple tu. Distract yourself.
Kama akijua kublock hizo websites basi atajifunza kuzi-unlock piaWengi watapoint tafuta kazi fanya mazoezi. Lakini mazoezi au kazi hautafanya usiku kucha, kuna ile saa nne usiku mpaka kesho upo mwenyewe chumbani mtihani hurudi upya hapo.
Na muda huo network hua fasta mno sijui kwanini anyway, amua kubadilika.
disable websites zote za porn zisiwe zinaload kwenye simu yako.
Magroup yanayotuma video na picha za porn yakimbie.
Jitoe Jukwaa La Wakubwa JF.
Tafuta mtu uwe unalala naye, awe wa kike au kiume.
Tafuta mpenzi.
Au badilisha simu toka kwenye smartphone nenda kwenye tochi.
Kama unataka kuzuia websites husika zisisome kwenye simu yako cheki hapa How to Block Websites on your Smartphone, Tablet (Android, iOS)
Mafanikio mema.
Ni kweli usemacho, ndiyo maana nikaanza na 'Amua'Kama akijua kublock hizo websites basi atajifunza kuzi-unlock pia
USITUMIE ANDROID PHONES. TUMIA TOCHIFor years now ,it is my weakness to watch porn videos. But unfortunately I can't control ma self to it even though I have committed ma self not to watch them.plz any one with an idea!! Frankly I need it.