How to block unwanted calls & sms?

How to block unwanted calls & sms?

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Ndugu zangu naomba mwenye haya maujanja na maujuzi ya block zile Unwanted calls & SMS kwenye simu zangu. Kama kuna specific Codes naomba mnisaidie.
Natumia simu aina ya Samsung E222 na TECNO TV70. Mitandao ni Tigo, Airtel na VodaCom.
Ahsanteni jamani.

SMS huwezi kublock zaid zitjujia kwa njia ya spam box na sio inbox katika samsung tu, hiyo techno cjui aisee. Kwa calls ni rahisi kwenye samsung yako Kama kweli ni yenyewe yaan original Weka call reject kazi yako ya kuzuia cmu zinazokuja inakuwa kwisha
 
Aisee, nashukuru ndugu. Kwa upande wa TECNO TV70 nimefanikiwa, kuna ile sehemu ya BlackList, lakini kwenye Samsung Chat E222, nimeikuta ile sehemu ya Auto reject, sijafurahishwa na namna inavyokuwa. Inaanza kuita kwanza (ina-display number na hata ringtone pia) then ndo inareject.
So, kama kuna namna nyingine ya kublock completely kama ilivyo kwenye hii Tecno mtanisaidia sana. Sitaki zile unwanted calls kudisplay kwenye screen.
Msaada wenu tafadhari.
 
Aisee pole sana naona shemeji kakukalia kooni na hizo simu zinazoita kila mara. Nenda kwenye settings then security setting, then call barring, chagua bar incoming calls then utaingiza namba za siri yaani 0000 au 1234. Hapo kwisha taizo.
 
Kama hujachange barring codes,try this *35*0000# to activate,and #35 *0000# to deactivate
Nb:hakuna atakayekupata on air
 
Labda uza simu ya samsung ununue zote techo,not necessarily zifanane na uliyo nayo sasa. ila yenye uwezo wa kublock kama utakavyo.
Au ukaongeze kijumba cha line kwenye iyo tecno,line zote ziwe kwa hiyo tecno.

Aisee, nashukuru ndugu. Kwa upande wa TECNO TV70 nimefanikiwa, kuna ile sehemu ya BlackList, lakini kwenye Samsung Chat E222, nimeikuta ile sehemu ya Auto reject, sijafurahishwa na namna inavyokuwa. Inaanza kuita kwanza (ina-display number na hata ringtone pia) then ndo inareject.
So, kama kuna namna nyingine ya kublock completely kama ilivyo kwenye hii Tecno mtanisaidia sana. Sitaki zile unwanted calls kudisplay kwenye screen.
Msaada wenu tafadhari.
 
Labda uza simu ya samsung ununue zote techo,not necessarily zifanane na uliyo nayo sasa. ila yenye uwezo wa kublock kama utakavyo.
Au ukaongeze kijumba cha line kwenye iyo tecno,line zote ziwe kwa hiyo tecno.

Ustaarabu ni kitu muhimu sana katika maisha. Jitahidi kuwa mstaarabu na jitahidi kuheshimu mtu hata kama haumjui.
Sijafurahishwa na kauli zako. Kama huwezi kunisaidia kaa kimya lkn si kuchangia kisichoeleweka.
Usipende kujifanya msemaji kwenye point waliozotoa wenzio, toa zako ueleweke, kama huna kaa kimya waache wenye kujua waseme.
 
Kama hujachange barring codes,try this *35*0000# to activate,and #35 *0000# to deactivate
Nb:hakuna atakayekupata on air

Shukrani sana ndugu yangu, ila samahani sana kwa usumbufu. Lengo lilikuwa ni block Unwanted Calls, lakini hapa nablock all incomings, vp hakuna namna namna ya kuselect specific number za kublock???
Mwenye ujuzi wa ziada tafadhari. Mwenzenu nimekaliwa kooni huku, kuna mtu ananisumbua sana hadi anataka kupelekea kuniharibia nyumba yangu.
 
Vumilia mkuu kama hujapenda ushauri wake just mpotezee tuu kuliko kutumia energy nyiingi kumjibu.
 
Ndugu zangu naomba mwenye haya maujanja na maujuzi ya block zile Unwanted calls & SMS kwenye simu zangu. Kama kuna specific Codes naomba mnisaidie.
Natumia simu aina ya Samsung E222 na TECNO TV70. Mitandao ni Tigo, Airtel na VodaCom.
Ahsanteni jamani.

download antivirus either mobile guard..karspersky vilevile au netqin then utaenda antitheft then utakuta option ya blacklist au whitelist.usiowataka waweke kwa blacklist then hata msg zao hazitaingia..ningekuwa wewe nawaweka voda wa kwanza koz msg zao zaboa
 
Shukrani sana ndugu yangu, ila samahani sana kwa usumbufu. Lengo lilikuwa ni block Unwanted Calls, lakini hapa nablock all incomings, vp hakuna namna namna ya kuselect specific number za kublock???
Mwenye ujuzi wa ziada tafadhari. Mwenzenu nimekaliwa kooni huku, kuna mtu ananisumbua sana hadi anataka kupelekea kuniharibia nyumba yangu.

pole boss hiyo sio mzuri kweli coz unablock all incoming call

ninachofahamu ni kuwa una-add blacklist through your phonebook kupitia huko kwenye setting
 
1.Naomba unieleweshe wapi sikuwa mstaarabu.

2.Wapi nilipokukosea heshima

3.Kauli zipi ambazo zimekutukana,kufikia wewe kusema hazijakufurahisha

4.Kwanini kama hujaelewa kitu usimuulize mtu alichomaanisha?

5.Kama ulitaka nisichangie kwanini usingeeleza mapema?

6. Wapi nmejifanya msemaji?

Ustaarabu ni kitu muhimu sana katika maisha. Jitahidi kuwa mstaarabu na jitahidi kuheshimu mtu hata kama haumjui.
Sijafurahishwa na kauli zako. Kama huwezi kunisaidia kaa kimya lkn si kuchangia kisichoeleweka.
Usipende kujifanya msemaji kwenye point waliozotoa wenzio, toa zako ueleweke, kama huna kaa kimya waache wenye kujua waseme.
 
kama cm zako znapiga k2 cha android nenda search black list utapata hzo ap
 
Shukrani sana ndugu yangu, ila samahani sana kwa usumbufu. Lengo lilikuwa ni block Unwanted Calls, lakini hapa nablock all incomings, vp hakuna namna namna ya kuselect specific number za kublock???
Mwenye ujuzi wa ziada tafadhari. Mwenzenu nimekaliwa kooni huku, kuna mtu ananisumbua sana hadi anataka kupelekea kuniharibia nyumba yangu.

Mmmmm salama bandugu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu zangu naomba mwenye haya maujanja na maujuzi ya block zile Unwanted calls & SMS kwenye simu zangu. Kama kuna specific Codes naomba mnisaidie.
Natumia simu aina ya Samsung E222 na TECNO TV70. Mitandao ni Tigo, Airtel na VodaCom.
Ahsanteni jamani.

Soma user guide ya simu hizo zote utapata majibu. Information unazo mwenyewe halafu unauliza tena!
 
Ustaarabu ni kitu muhimu sana katika maisha. Jitahidi kuwa mstaarabu na jitahidi kuheshimu mtu hata kama haumjui.
Sijafurahishwa na kauli zako. Kama huwezi kunisaidia kaa kimya lkn si kuchangia kisichoeleweka.
Usipende kujifanya msemaji kwenye point waliozotoa wenzio, toa zako ueleweke, kama huna kaa kimya waache wenye kujua waseme.

Shuhudia ukosefu wa ustaarabu wake
Ametoa ushauri ambao hauna tatizo ,ila wewe unataka kuleta tatizo ambalo halina ulazima
 
1.naomba unieleweshe wapi sikuwa mstaarabu.2.wapi nilipokukosea heshima3.kauli zipi ambazo zimekutukana,kufikia wewe kusema hazijakufurahisha4.kwanini kama hujaelewa kitu usimuulize mtu alichomaanisha?5.kama ulitaka nisichangie kwanini usingeeleza mapema?6. Wapi nmejifanya msemaji?
msigombane! Basi yaishe,kila mmoja kakosea na ndio ubinadamu
 
Kama hujachange barring codes,try this *35*0000# to activate,and #35 *0000# to deactivate
Nb:hakuna atakayekupata on air

Unatakiwa kuwa muangalifu sana kwenye njia hii kwani attempts zikizidi inakula kwako mimi nipo offline siku nzima hapa nilipo naelekea tiGo kwa ufumbuzi zaidi
 
Back
Top Bottom